Lituanya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Lietuvos Respublika
Jamhuri ya Lithuania
Bendera ya Lithuania Nembo ya Lithuania
Bendera Nembo
Wito la taifa: Tautos jėga vienybėje!
"Nguvu ya Taifa ni Umoja!"
Wimbo wa taifa: Tautiška giesmė
Lokeshen ya Lithuania
Mji mkuu Vilnius city COA.gif Vilnius
54°40′ N 25°19′ E
Mji mkubwa nchini Vilnius
Lugha rasmi Kilituanya
Serikali Jamhuri, serikali ya kibunge
Dalia Grybauskaitė
Andrius Kubilius
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitangazwa
Ilikubaliwa

16 Februari 1918
11 Machi 1990
6 Septemba 1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
65,303 km² (ya 123)
1,35%
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
3,483,972 (ya 125)
55/km² (ya 113)
Fedha Litas (Lt) (LTL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD .lt1
Kodi ya simu +370

-

1 Pia .eu pamoja na nchi za Umoja wa UlayaLituanya (au pia Lituania) ni nchi iliyoko Kaskazini Mashariki mwa Ulaya. Inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Lituania. Mji mkuu wa Litwania ni Vilnius.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Lituanya iko kwenye mwambao wa Bahari ya Baltiki.

Wilaya za Lituanya[hariri | hariri chanzo]

Makala kuu ya: Wilaya za Lituanya

Miji[hariri | hariri chanzo]

Historia[hariri | hariri chanzo]

1940 - 1990 nchi ilikuwa jamhuri mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti na kabla hayo sehemu ya Dola la Urusi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:Nchi za Umoja wa Ulaya Bendera ya Umoja wa Ulaya
Austria | Bulgaria | Denmark | Estonia | Hispania | Hungaria | Ireland | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituania | Luxemburg | Malta | Poland | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Ufalme wa Muungano | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lituanya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.