Guernsey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Guernsey pamoja na visiwa vya kando
Mahali pa Visiwa vya Mfereji wa Kiingereza

Guernsey ni kisiwa kikubwa cha pili kati ya Visiwa vya mfereji wa Kiingereza chenye wakazi 65,000. Kipo karibu na pwani la Ufaransa lakini ni eneo chini ya taji la Uingereza isipokuwa si sehemu ya Uingereza mwenyewe.

Mji wa pekee ni St Pierre Port menye wakazi 16,000.

Lugha inayotumiwa ni hasa Kiingereza. Kuna bado wasemaji 2,000 wa lugha asilia ya Kiguernsey (Dgèrnésiais) lakini idadi inazidi kupungua.

Guernsey ni pia jina la jumla la tarafa inyaounganisha kisiwa cha Guernsey pamoja na visiwa vidogo vya Alderney, Sark, Herm, Jethou, Brecqhou na Burhou. Pamoja na tarafa ya Jersey ni eneo la pili la visiwa vya mfereji wa Kiingereza.

Europe.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guernsey kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi na maeneo ya Ulaya
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Eire | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Italia | Jamhuri ya Masedonia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Malta | Moldova | Monako |Montenegro | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufalme wa Muungano (Uingereza) | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Vatikani

Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard

Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 | Kupro2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1

Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini2

Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro