Estonia
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: Mu isamaa, mu õnn ja rõõm | |||||
| Mji mkuu | Tallinn |
||||
| Mji mkubwa nchini | Tallinn | ||||
| Lugha rasmi | Kiestonia | ||||
| Serikali | demokrasia Toomas Hendrik Ilves Andrus Ansip |
||||
| Uhuru Ilitangazwa ilikubaliwa Ilitwaliwa na Urusi Ilitangazwa tena ilikamilika |
24 Februari 1918 2 Februari 1920 16 Juni 1940 20 Agosti 1991 6 Septemba 1991 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
45,100 km² (ya 13) 4.56% |
||||
| Idadi ya watu - 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
1,330,000 (ya 15) 29/km² (ya 173) |
||||
| Fedha | Euro (EUR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .ee1 | ||||
| Kodi ya simu | +372
- |
||||
Estonia(Kiestonia: Eesti or Eesti Vabariik) ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Latvia na Urusi. Finland iko ng'ambo ya Kidaka cha Ufini cha Bahari ya Baltiki na watu wake hutumia lugha iliyo karibu sana na Kiestonia. Estonia imekuwa nchi mwanachama ya Umoja wa Ulaya tangu 1 Mei 2004.
1922 - 1991 ilikuwa jamhuri mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti na kabla hayo sehemu ya Dola la Urusi.
Mji mkuu ni Tallinn inayojulikana pia kwa jina la Reval. Lugha rasmi ni Kiestonia ambacho ni lugha mama ya theluthi mbili ya wakazi. Zaidi ya robo husema Kirusi. Kiestonia ni lugha karibu sana na Kifini.
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Estonia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||