Belarus
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: Belarusian: Мы, беларусы (Mi Belarusi) ("Sisi Wabelarus") |
|||||
| Mji mkuu | Minsk |
||||
| Mji mkubwa nchini | Minsk | ||||
| Lugha rasmi | Kibelarus, Kirusi | ||||
| Serikali | Jamhuri Alexander Lukashenko Sergey Sidorsky |
||||
| Uhuru Ilitangazwa ilianzishwa ilikamilishwa |
27 Julai 1990 25 Agosti 1991 25 Desemba 1991 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
207,600 km² (ya 93) kidogo sana (183 km²)[1] |
||||
| Idadi ya watu - 2005 kadirio - 1999 sensa - Msongamano wa watu |
9,755,000 (ya 8) 10,045,237 49/km² (ya 14) |
||||
| Fedha | Rubel ya Belarus (BYR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .by | ||||
| Kodi ya simu | +375
- |
||||
Belarus (Kibelarus: Беларусь (kikyrili) au Biełaruś (kilatini); kirusi:Белоруссия ) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki inayopakana na Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Latvia. Mji mkuu ni Minsk na miji mingine ni pamoja na Brest, Grodno, Gomel, Mogilev na Vitebsk. Idadi ya wakazi ni watu 9,755,000 (2005 kad.).
Historia [hariri]
Belarus haikuwahi kuwa nchi ya pekee hadi karne ya 20. Maeneo yake yalikuwa chini ya himaya mbalimbali kama Poland, Lithuania na Urusi. Belarus ilikuwa kitengo cha Umoja wa Kisovyet tangu 1919/1922 hadi 1991.
Wakazi na utamaduni [hariri]
Wakazi walio wengi ni Wabelarus ambao wanaongea ama Kibelarus au Kirusi ambavyo vyote viwili ni lugha rasmi. Lugha hizi mbili zina asili ya pamoja. Takriban 11% za wakazi ni Warusi. Kuna pia vikundi vidogo vinavyotumia lugha za pekee kama vile Kipoland, Kiukraine, Kilatvia, Kiluthuania na vingine. Walio wengi ni wafuasi wa Ukristo wa Kiorthodoksi.
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Belarus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||
Cite error: <ref> tags exist, but no <references/> tag was found