Latvia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Latvijas Republika
Jamhuri ya Latvia
Bendera ya Latvia Nembo ya Latvia
Bendera Nembo
Wito la taifa: Tēvzemei un Brīvībai
(Kilatvia: " Kwa taifa na uhuru ")
Wimbo wa taifa: Dievs, svētī Latviju!
(Kilatvia: "Mungu ubariki Latvia!")
Lokeshen ya Latvia
Mji mkuu Riga
56°57′ N 24°6′ E
Mji mkubwa nchini Riga
Lugha rasmi Kilatvia
Serikali Demokrasia
Valdis Zatlers
Valdis Dombrovskis
Uhuru
Ilitangazwa (kutoka Urusi)
Ilitambuliwa
Ilitangazwa
(mwanzo wa kuachana na
Umoja wa Kisovyeti)

Ilikamilishwa

18 Novemba 1918
26 Januari 1921
4 Mei 1990


6 Septemba 1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
64,589 km² (ya 124)
1.5
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
2,307,000 (ya 14)
36/km² (166)
Fedha Lats (Ls), pia Euro (LVL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD .lv 1
Kodi ya simu +371

-


Ramani ya Latvia

Latvia (Kilatvia: Latvija au Latvijas Republika, Kilivonia: Lețmō) ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Estonia, Lithuania, Belarus na Urusi. Uswidi iko ng'ambo ya bahari ya Baltiki.

Mji mkuu ni Riga. Latvia ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1 Mei 2004.

1922 - 1991 nchi ilikuwa jamhuri mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti na kabla hayo sehemu ya Dola la Urusi.

Siasa [hariri]

Latvia ilijiunga na Umoja wa Ulaya baada ya azimio la Halmashauri Kuu ya Ulaya ya 13 Desemba 2002 iliyokutana Kopenhagen. Latvia iliingia rasmi katia Umoja wa Ulaya tar. 1 Mei 2004 pamoja na nchi nyingine 9 za Ulaya mashariki. Katika kura ya maoni ya tar. 20 Septemba 2003 ni 66.9% za Walatvia wote waliokubali azimio hili.

Viungo vya Nje [hariri]

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Latvia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.