1918
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1914 | 1915 | 1916 | 1917 | 1918 | 1919 | 1920 | 1921 | 1922 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1918 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 28 Mei - Nchi ya Armenia inatangazwa kuwa jamhuri.
- 9 Novemba - Mfalme Mkuu Wilhelm II wa Ujerumani anajiuzulu, na Ujerumani unatangazwa kuwa jamhuri.
Novemba: Mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1918 MCMXVIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5678 – 5679 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1910 – 1911 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1367 ԹՎ ՌՅԿԷ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1337 – 1338 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1296 – 1297 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1973 – 1974 |
| - Shaka Samvat | 1840 – 1841 |
| - Kali Yuga | 5019 – 5020 |
| Kalenda ya Kichina | 4614 – 4615 丁巳 – 戊午 |
- 23 Januari - Gertrude Elion (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988)
- 12 Februari - Julian Schwinger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)
- 3 Machi - Arthur Kornberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba wa mw. 1959)
- 16 Machi - Frederick Reines, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
- 20 Aprili - Kai Siegbahn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981)
- 25 Aprili - Muhammed Said Abdulla, mwandishi wa Tanzania
- 11 Mei - Richard Feynman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)
- 23 Mei – Jackson Bate (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1964)
- 18 Juni - Jerome Karle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985
- 14 Julai - Ingmar Bergman, mwongozaji wa filamu kutoka Uswidi
- 15 Julai - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
- 18 Julai - Nelson Mandela (rais mstaafu wa Afrika Kusini, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1993)
- 31 Julai - Paul Boyer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 13 Agosti - Frederick Sanger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1958)
- 2 Septemba - Allen Drury (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1959)
- 8 Septemba - Derek Barton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 27 Septemba - Martin Ryle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974)
- 4 Oktoba - Kenichi Fukui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 8 Oktoba - Jens Skou, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 16 Oktoba - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 10 Novemba - Ernst Otto Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 11 Desemba - Aleksandr Solzhenitsyn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1970)
- 23 Desemba - Helmut Schmidt, Waziri Mkuu wa Ujerumani (1974-82)
Waliofariki [hariri]
- 8 Februari - Louis Renault (mwanasheria Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1907)
- 10 Februari - Ernesto Teodoro Moneta (mwandishi Mwitalia, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1907)
- 10 Septemba - Karl Peters aliyeanzisha Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
- 20 Novemba - John Bauer, mchoraji kutoka Uswidi
Wikimedia Commons ina media kuhusu: