Louis Renault

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Louis Renault

Louis Renault (21 Mei 18438 Februari 1918) alikuwa mwanasheria na mwelimishaji kutoka nchi ya Ufaransa. Alikuwa profesa wa sheria ya kimataifa na alijitahidi kama mpatanishi kati ya nchi mbalimbali. Mwaka wa 1907, pamoja na Ernesto Teodoro Moneta alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Renault kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.