Kai Siegbahn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kai Siegbahn

Kai Manne Börje Siegbahn (amezaliwa 20 Aprili 1918) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswidi. Alikuwa mtoto wa Karl Manne Siegbahn. Hasa alichunguza mnururisho wa kiini cha atomu. Mwaka wa 1981, pamoja na Nicolaas Bloembergen na Arthur Schawlow alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kai Siegbahn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.