Allen Drury
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Allen Stuart Drury (2 Septemba, 1918 – 2 Septemba, 1998) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1959 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya riwaya yake ya kwanza “Shauri ukakubali” (kwa Kiingereza: Advise and Consent).
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Allen Drury kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |