Ingmar Bergman
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ingmar Bergman (14 Julai, 1918 – 30 Julai, 2007) alikuwa mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa Kiswidi. Yasemekana kwamba Bergman ndiye mwanzilishi na mjuzi zaidi wa kutengeneza filamu za kisasa.
Watengenezaji wengi wa filamu duniani wamekiri kwamba kazi zao zimeathiriwa na kazi za huyu bwana Bergman, baadhi yao Wamarekani Woody Allen na Robert Altman, mwongozaji filamu wa Urusi Andrei Tarkovsky na mwongozaji filamu wa Kijapani Akira Kurosawa.
[hariri] Viungo vya nje
- Ingmar Bergman katika Internet Movie Database
- Ingmar Bergman katika TCM Movie Database
- Ingmar Bergman Face to Face
- The Ingmar Bergman Foundation
- A presentation of Ingmar Bergman from the website Sweden.se.
- Bergmanorama: The magic works of Ingmar Bergman
- The Religious Affiliation of Ingmar Bergman
- Senses of Cinema: Great Directors Critical Database
- Wings Of Desire Bergman site
- Brief biography at Kirjasto (Pegasos)
- Ingmar Bergman Swedish Posters
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ingmar Bergman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |