1928
Kutoka Wikipedia
| Miaka: | 1925 1926 1927 - 1928 - 1929 1930 1931 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 6 Machi - Gabriel Garcia Marquez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1982)
- 12 Machi - Edward Albee (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, miaka ya 1967, 1976 na 1992)
- 6 Aprili - James Dewey Watson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 14 Mei - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
- 6 Agosti - Andy Warhol, msanii kutoka Marekani
- 27 Agosti - Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa Kizulu na mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 30 Oktoba - Daniel Nathans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
[hariri] Waliofariki
- 30 Januari - Johannes Fibiger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926)
- 4 Februari - Hendrik Antoon Lorentz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902)
- 2 Aprili - Theodore William Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1914)
- 30 Agosti - Wilhelm Wien (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1911)

