30 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
- 1464 - Uchaguzi wa Papa Paulo II
- 1991 - Nchi ya Azerbaijan inatangaza uhuru wake kutoka Umoja wa Kisovyeti.
Waliozaliwa[hariri]
- 1852 - Jacobus Henricus van 't Hoff (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1901)
- 1871 - Ernest Rutherford (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1908)
- 1884 - Theodor Svedberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1926)
- 1912 - Edward Purcell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)
- 1979 - Kali Ongala, mchezaji mpira kutoka Tanzania
Waliofariki[hariri]
- 1181 - Papa Alexander III
- 1428 - Shoko, mfalme mkuu wa Japani (1412-1428)
- 1928 - Wilhelm Wien (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1911)
- 1940 - Joseph John Thomson, mwanafizikia kutoka Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1906
- 2003 - Charles Bronson, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 2006 - Nagib Mahfuz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1988)