Papa Alexander III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Alexander III (kati ya 1100 na 1105 – 30 Agosti, 1181) alikuwa papa kuanzia 7 Septemba, 1159 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rolando Bandinelli. Alimfuata Papa Adrian IV.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |