9 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
- 1471 - Uchaguzi wa Papa Sixtus IV
- 1945 - Bomu la nyuklia la pili katika historia linatupwa juu ya mji wa Nagasaki (Japani)
Waliozaliwa[hariri]
- 1911 - William Fowler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983)
- 1939 - Romano Prodi, mwanasiasa kutoka Italia
- 1963 - Whitney Houston, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri]
- 117 - Traian, Kaisari wa Roma (98-117)
- 1048 - Papa Damaso II
- 1962 - Hermann Hesse (mwandishi Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946)
- 1969 - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 1978 - James Gould Cozzens, mwandishi kutoka Marekani
- 1996 - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani alijiua