3 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1057 - Uchaguzi wa Papa Stefano IX
- 1960 - Nchi ya Niger inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa [hariri]
- 1934 - Jonas Savimbi
- 1946 - Felix Christopher Mrema, mwanasiasa wa Tanzania
- 1959 - Koichi Tanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 1961 - Barnabas Kinyor, mwanariadha kutoka Kenya
- 1964 - Lucky Dube, mwanamuziki wa Afrika Kusini
Waliofariki [hariri]
- 1942 - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915
- 2008 - Aleksandr Solzhenitsyn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1970)