1 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1291 - Nchi ya Uswisi ilianzishwa kupitia Kiapo cha Rutli.
- 1960 - Nchi ya Benin inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa [hariri]
- 1377 - Go-Komatsu, mfalme mkuu wa Japani (1392-1412)
- 1867 - William Speirs Bruce, mpelelezi wa Antaktiki kutoka Uskoti
- 1885 - Georg von Hevesy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943)
- 1903 - Paul Horgan, mwandishi kutoka Marekani
- 1924 - Georges Charpak (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1992)
- 1939 - Robert James Waller, mwandishi wa Marekani
- 1945 - Doug Osheroff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
- 1960 - Chuck D (mwanamuziki kutoka Marekani)
Waliofariki [hariri]
- 1963 - Theodore Roethke (mshairi kutoka Marekani)
- 1967 - Richard Kuhn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938)
- 1970 - Otto Warburg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931)
- 1996 - Tadeus Reichstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 2009 - Corazon Aquino, Rais wa Ufilipino (1986-1992)