Otto Warburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otto Heinrich Warburg

Otto Heinrich Warburg (8 Oktoba 18831 Agosti 1970) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza uvutaji pumzi. Mwaka wa 1931 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Otto Warburg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.