8 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1883 - Otto Warburg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931)
- 1917 - Rodney Porter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972)
- 1918 - Jens Skou, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 1927 - César Milstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984)
- 1965 - Iddi Mohamed Azzan, mwanasiasa wa Tanzania
- 1970 - Matt Damon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1979 - Kristanna Loken, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1869 - Franklin Pierce, Rais wa Marekani (1853-1857)
- 1936 - Munshi Premchand, mwandishi kutoka Uhindi
- 1992 - Willy Brandt, Chansela wa Ujerumani (1969-1974)