Reparata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Reparata (Kaisarea Baharini, Israeli, 235 hivi - 250 hivi) alikuwa msichana bikira Mkristo aliyetesa na kuuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya Kaisari Decius[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.