2 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1538 - Mtakatifu Karoli Borromeo, askofu wa mji wa Milano
- 1852 - William Ramsay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904)
- 1869 - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini Uhindi
- 1871 - Cordell Hull (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1945)
- 1907 - Alexander Todd (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1957)
- 1917 - Christian de Duve (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1974)
Waliofariki [hariri]
- 1264 - Papa Urban IV
- 1927 - Svante Arrhenius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1903)
- 1987 - Peter Medawar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960