1972
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1969 1970 1971 - 1972 - 1973 1974 1975 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 2 Juni - Wentworth Miller, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 20 Februari - Maria Goeppert-Mayer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
- 7 Aprili - Abedi Amani Karume (Rais wa kwanza wa Zanzibar) alipigwa risasi
- 16 Aprili - Yasunari Kawabata (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1968)
- 27 Aprili - Kwame Nkrumah (Rais wa kwanza wa Ghana)
- 4 Mei - Edward Kendall (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 11 Agosti - Max Theiler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1951)
bila tarehe
- Edward Tingatinga, msanii kutoka Tanzania

