Wyclef Jean
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Wyclef Jean | |
|---|---|
Wyclef Jean akitumbuiza katika tamasha la UNAIDS.
|
|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Neluset Wyclef Jean |
| Pia anajulikana kama | Wyclef |
| Amezaliwa | 17 Oktoba 1972 Croix-des-Bouquets, Haiti |
| Asili yake | Newark, New Jersey, United States |
| Aina ya muziki | Hip hop, reggae, kompa, R&B, Muziki wa asili |
| Kazi yake | Mwanamuziki, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mwigizaji |
| Ala | Sauti, gitaa, piano, ngoma |
| Miaka ya kazi | 1987–hadi leo |
| Studio | Ruffhouse, Columbia, J, Koch |
| Ame/Wameshirikiana na | The Fugees |
| Tovuti | www.wyclef.com |
Nelust Wyclef Jean (amezaliwa tar. 17 Oktoba 1972) ni mwanamuziki, mwigizaji, mtayarishaji wa Kihaiti-Kiamerika. Pia anafahamika kwa kuwa kama mwanachama wa kundi la muziki wa hip hop la The Fugees.
Yaliyomo |
Wasifu[hariri]
Maisha ya awali (kwa ufupi)[hariri]
Jean alizaliwa kama Nelust Wyclef Jean, mjini Croix-des-Bouquets, Haiti, alipewa jina la Wyclef Jean na baba yake mlezi, mchungaji aliyebadilisha jina lake baada ya kuitwa John Wycliffe[1]. Alihama yeye na familia yake na kuelekea zao mjini Brooklyn, New York akiwa na umri wa miaka tisa, na kisha baadaye kuelekea zao New Jersey.
Muziki[hariri]
- The Carnival (akiwa na Pras na Lauryn Hill) (Columbia, 1997)
- The Ecleftic: 2 Sides II a Book (Columbia, 2000)
- Masquerade (Columbia, 2002)
- Greatest Hits (Columbia, 2003)
- The Preacher's Son (J, 2003)
- Welcome to Haiti: Creole 101 (Koch, 2004)
- Carnival Vol. II: Memoirs of an Immigrant (Columbia, 2007)
Marejeo[hariri]
Viungo vya nje[hariri]
- Wyclef.com (official site)
- Sak Pasé Records (a record label founded by Wyclef)
- Wyclef Jean on Facebook
|
||||||||||||||