7 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1498 - Vasco da Gama anafikia mji wa Mombasa katika safari yake kutoka Ureno kwenda Uhindi.
- 1655 - Uchaguzi wa Papa Alexander VII
[hariri] Waliozaliwa
- 1652 - Papa Klementi XII
- 1786 - William Rufus de Vane King, Kaimu Rais wa Marekani (1853)
- 1915 - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
[hariri] Waliofariki
- 1972 - Abedi Amani Karume (Rais wa kwanza wa Zanzibar) alipigwa risasi

