1953
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | ►
◄◄ | ◄ | 1949 | 1950 | 1951 | 1952 | 1953 | 1954 | 1955 | 1956 | 1957 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1953 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
- 29 Mei - Tenzing Norgay na Edmund Hillary ni watu wa kwanza kufikia kilele cha Mount Everest, mlima mrefu kabisa duniani.
- 18 Juni - Nchi ya Misri imetangazwa kuwa jamhuri.
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1953 MCMLIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5713 – 5714 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1945 – 1946 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1402 ԹՎ ՌՆԲ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1373 – 1374 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1331 – 1332 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2008 – 2009 |
| - Shaka Samvat | 1875 – 1876 |
| - Kali Yuga | 5054 – 5055 |
| Kalenda ya Kichina | 4649 – 4650 壬辰 – 癸巳 |
- 1 Januari - Alpha Blondy, mwanamuziki kutoka Cote d'Ivoire
- 9 Mei - Bernard Kamilius Membe, mwanasiasa wa Tanzania
- 16 Mei - Pierce Brosnan, mwigizaji filamu kutoka Ireland
- 21 Juni - Benazir Bhutto, mwanasiasa kutoka Pakistan
- 23 Juni - Filbert Bayi, mwanariadha kutoka Tanzania
- 24 Juni - Aloyce Bent Kimaro, mwanasiasa wa Tanzania
- 26 Agosti - Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa Tanzania
bila tarehe
- Isabel Hofmeyr, mwandishi wa Afrika Kusini
Waliofariki[hariri]
- 5 Machi - Josef Stalin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti tangu 1924
- 8 Novemba - Ivan Bunin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1933)
- 27 Novemba - Eugene O'Neill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1936)
- 14 Desemba – Marjorie Rawlings (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939)
- 19 Desemba - Robert Millikan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: