Marjorie Rawlings
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marjorie Kinnan Rawlings (8 Agosti, 1896 – 14 Desemba, 1953) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1939, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa riwaya yake The Yearling ("Mwenye mwaka mmoja tu").
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marjorie Rawlings kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |