Eugene O'Neill
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eugene Gladstone O'Neill (16 Oktoba, 1888 – 27 Novemba, 1953) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika tamthiliya. Mwaka wa 1936 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eugene O'Neill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |