27 Novemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Okt - Novemba - Des | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1857 - Charles Sherrington (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932)
- 1903 - Lars Onsager, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1968
- 1940 - Bruce Lee, mtaalamu wa Kung Fu na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1942 - Jimi Hendrix, mpiga gitaa kutoka Marekani
- 1976 - Jean Grae, mwanamuziki wa Marekani
- 1965 - Peter Kenneth, mwanasiasa nchini Kenya
Waliofariki [hariri]
- 1953 - Eugene O'Neill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1936)