Pakistan
|
|||||
| Wito la taifa: Iman, Ittehad, Tanzim (Kiurdu: "Imani, Umoja, Nidhamu") |
|||||
| Wimbo wa taifa: Pak sarzamin shad bad | |||||
| Mji mkuu | Islamabad |
||||
| Mji mkubwa nchini | Karachi | ||||
| Lugha rasmi | Kiurdu, Kiingereza | ||||
| Serikali | Jamhuri ya Kiislamu Shirikisho la Jamhuri Asif Ali Zardari Yousaf Raza Gillani |
||||
| Uhuru Abbasiya Dola la Ghazni Ufalme wa Ghor Usultani wa Delhi Dola la Moghul imetangazwa Jamhuri |
kutoka Uingereza 711-962 962–1187 1187-1206 1210-1526 1526-1707 14 Agosti 1947 23 Machi 1956 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
880,254 km² (ya 34) 3.1 |
||||
| Idadi ya watu - 2004 kadirio - Msongamano wa watu |
163,985,373[1] (ya 6) 211/km² (ya 53) |
||||
| Fedha | Rupia (Rs.) (PKR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
PST (UTC+5:00) haipo (UTC+6:00) |
||||
| Intaneti TLD | .pk | ||||
| Kodi ya simu | +92
- |
||||
Pakistan ni nchi ya Asia ya Kusini. Imepakana na Ghuba ya Uarabuni upande wa kusini, Afghanistan na Uajemi upande wa magharibi, Uhindi kwa mashariki na Uchina kwenye kaskazini-mashariki.
Mipaka yake na Uhindi na Uchini haitambuliki kimataifa. Pakistan na Uhindi zote mbili zinadai eneo la Kashmir zikitawala kila moja sehemu za eneo hili.
Pakistan ina nafasi ya sita kati ya nchi duniani zenye watu wengi. Ni nchi yenye Waislamu wengi duniani baada ya Indonesia.
Pakistan ilikuwa sehemu ya Uhindi wa Kiingereza hadi 1947 ikapata uhuru wake katika vita ya mgawanyiko wa Uhindi. Wakati ule ilikuwa nchi moja pamoja na Bangla Desh ya leo.
Jina la Pākistān lina maana ya "nchi ya watu safi" kwa Kiurdu.
Kuna majimbo manne ya Punjab, Sindh, Jimbo la mpaka wa kaskazini-magharibi and Baluchistan.
Marejeo [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
| Nchi na maeneo ya Asia |
|
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
| 1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Pakistan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |