Uthai
|
|||||
| Wito la taifa: {{{national_motto}}} | |||||
| Wimbo wa taifa: Phleng Chat Wimbo la kifalme: Phleng Sansoen Phra Barami |
|||||
| Mji mkuu | Bangkok (Krung Thep) |
||||
| Mji mkubwa nchini | Bangkok | ||||
| Lugha rasmi | Kithai | ||||
| Serikali | Serikali ya kijeshi chini ya Ufalme wa kikatiba Bhumibol Adulyadej Jenerali Surayud Chulanont Jenerali Sonthi Boonyaratglin |
||||
| Formation Sukhothai Mfalmedom Ufalme wa Ayutthaya Ufalme wa Thonburi Ufalme wa Chakri |
1238–1368 1350–1767 1767 hadi 7 Aprili 1782 7 Aprili 1782 hadi leo |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
514,000 km² (ya 49) 0.4 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
64,631, 5951 (ya 19) 60,916,441 126/km² (ya 802) |
||||
| Fedha | Baht (฿) (THB) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+7) |
||||
| Intaneti TLD | .th | ||||
| Kodi ya simu | +66
- |
||||
Uthai (pia: Siam, Thailand, Tailandi, Thailandi, Tailendi) ni ufalme katika Asia ya Kusini-Magharibi. Imepakana na Laos, Kambodia, Malaysia na Myanmar. Ina pwani la Ghuba ya Uthai ya Bahari ya Kusini ya China upande wa kusini na Bahari Hindi upande wa magharibi. Nchi iliitwa rasmi Siam (สยาม) hadi 1939 na tena kati ya 1945 1949. Neno Thai (ไทย) lamaanisha "uhuru" kwa Kithai ni pia jina la kundi kubwa nchini ambao ni Wathai.
Mji mkuu ni Bangkok.
Wathai walio wengi hufuata dini la Ubuddha. Katika kusini mpakana ni Malaysia kuna Waislamu.
Tangu 19 Septemba 2006 nchi imetawaliwa na kamati ya jeshi. Jeshi ilipindua serikali ya waziri mkuu Thaksin Shinawatra bila kumwaga damu. Viongozi wa kijeshi walipatana na mfalme ya kwamba wataandaa uchaguzi mpya.
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uthai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi na maeneo ya Asia |
|
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
| 1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |