Macau
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: (kama China) | |||||
| Mji mkuu | -- 1 |
||||
| ' | (mji ulikuwa na tarafa ndani yake zilizofutwa tangu 2000) | ||||
| Lugha rasmi | · Kichina · Kireno |
||||
| Serikali
Mtendaji mkuu
|
Edmund Ho Hau-wah |
||||
| Kuanzishwa kwa mji Iliundwa na wenyeji Wachina kutwaliwa na Ureno koloni ya Ureno Mkoa wa pekee wa China |
Tangu karne ya 5 BK 1557 31 Agosti 1862 20 Desemba 1999 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
28.2 km² (--) 0 |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
508,500 (ya 167) 431,000 17,310/km² (ya 2) |
||||
| Fedha | Pataca ya Macau (MOP) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MST (UTC+8) -- |
||||
| Intaneti TLD | .mo | ||||
| Kodi ya simu | +853
- |
||||
| 1 Mji mkuu ulikuwa "Cidade do Nome de Deus de Macau" au rasi ya Macau yenyewe; makao makuu ya serikali ya koloni yalikaa kwenye tarafa ya Sao Lorenco. 2 Habari kutoka Direcção dos Serviços de Estatística e Censos (ofisi ya takwimu ya Macau ) 3 Kadiri la serikali ya Macau si ya UM. |
|||||
Macau (tamka: Makau; Kichina: Aomen) ni eneo dogo la Jamhuri ya Watu wa China lenye utawala wa pekee kwenye pwani la Bahari ya Kusini ya China. Eneo lake ni 28.2 km² na kuna wakazi 508,500 (mwaka 2006). Msongamano wa watu Macau ni mkubwa wenye watu 17,310 kwa kilomita ya mraba ambao ni msongamano mkubwa wa pili duniani. Hali halisi eneo ni rasi ya Macau pamoja na visiwa viwili vidogo.
Koloni la Ureno [hariri]
Macau ilikuwa kituo cha Ureno tangu karne ya 16 na Wareno wakaikodi tangu 1670. Macau kama koloni ilithibitishwa katika Mkataba wa Beijing wa mwaka 1887 kati ya China na Ureno.
Macau kama eneo la pekee la China [hariri]
1999 ilirudishwa mkononi wa serikali ya China lakini kwa hali ya pekee inayofanana na hali ya eneo la jirani la Hong Kong. Macau inaendendelea kuratibu mambo yake kwa ndani yenyewe lakini katika madaraka kuhusu usalama, jeshi na siasa ya nje yapo Beijing.
Uchumi wa Macau hutegemea utalii na hasa michezo ya kamari. Kuna pia viwanda vya nguo.
Lugha rasmi ni Kichina na Kireno.
| Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Macau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi na maeneo ya Asia |
|
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
| 1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |