Kithai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kithai ni lugha ya taifa na lugha rasmi ya nchini Thailand na lugha ya mama ya Wathai, kikundi kikubwa cha Thailand. Karibuni watu milioni 70/75 wanazungumza lugha hii.
[hariri] Alfabeti zake
Alfabeti za Kithai zipo 44. ก ข ฃ ค ฅ ฆ ง จ ฉ ช ซ ฌ ญ ฎ ฏ ฐ ฑ ฒ ณ ด ต ถ ท ธ น บ ป ผ ฝ พ ฟ ภ ม ย ร ล ว ศ ษ ส ห ฬ อ ฮ Lugha ya Kithai ina namba zake za Kithai.
๑ 1 ๒ 2 ๓ 3 ๔ 4 ๕ 5 ๖ 6 ๗ 7 ๘ 8 ๙ 9 ๐ 0
[hariri] Viungo vya Nje
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- Thai language school
- Thai phrasebook in wikitravel
- Ethnologue write-up on Thai
- IPA and SAMPA for Thai
- Thai-English dictionary
- Thai2english.com: LEXiTRON-based Thai-English dictionary
- The Royal Institute Dictionary, official standard Thai-Thai dictionary
- Say Hello in the Thai Language
- Thai language pronunciation
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kithai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |