Alfabeti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mifumo ya mwandishi duniani Alfabeti:  Kilatini ,   Kikirili ,   Kilatini pamoja na Kikirili ,   Kigiriki ,   Kigeorgia na Kiarmenia    Abjadi:   Kiarabu ,   Kiarabu pamoja na Kilatini ,   Kiebrania pamoja na Kiarabu   Abugida:  Kihindi ya Kaskazini ,   Kihindi ya Kusini ,   Kiethiopia ,   Kithaana   Mwandishi wa kizalendo wa Kanada ,   Alama kwa neno lote na alama za silabi:  Alama za neno lote ,   Mchanganyiko wa alama za maneno na silabi ,   Mchanganyiko alfabeti na silabi   Mchanganyiko alfabeti na silabi 
Mifumo ya mwandishi duniani
Alfabeti:  Kilatini ,  Kikirili ,  Kilatini pamoja na Kikirili ,  Kigiriki ,  Kigeorgia na Kiarmenia 
Abjadi:  Kiarabu ,  Kiarabu pamoja na Kilatini ,  Kiebrania pamoja na Kiarabu 
Abugida:  Kihindi ya Kaskazini ,  Kihindi ya Kusini ,  Kiethiopia ,  Kithaana   Mwandishi wa kizalendo wa Kanada ,
Alama kwa neno lote na alama za silabi:  Alama za neno lote ,  Mchanganyiko wa alama za maneno na silabi ,  Mchanganyiko alfabeti na silabi   Mchanganyiko alfabeti na silabi 

Alfabeti ni kiasi cha alama zinazotumiwa kuandika sauti za lugha fulani. Alama hizi hupatikana kama orodha kwa ufuatano uliokubaliwa, kwa mfano "a,b,c,d,e".

Jina la "alfabeti" hutokana na mwandiko wa Kigiriki ambamo herufi mbili za kwanza ni α "alfa" na β "beta".

Alfabeti huonyesha sauti si maneno kamili - hii ni tofauti na mwandiko kama Kichina mwenye alama kwa ajili ya neno lote.

[hariri] Mifano ya Alfabeti

Alfabeti inayotumiwa zaidi kimataifa ni alfabeti ya Kilatini. Lakini kuna alfabeti kadhaa zinazojulikana kimataifa kama vile:

Mengine ni alfabeti kama vile Kikopti, Kigeorgia, Kiarmenia na vingine.

[hariri] Abugida

Aina ya pekee za alfabeti ni miandiko ya "abugida". Hii inamaanisha namna ya kuandika ambako hakuna alama za pekee kwa ajili ya vokali. Kila alama ya konsonanti ina namna mbalimbali ya kuonekana kwa kuongeza alama ndogo inayoonyesha ni vokali ipi inayofuata. mifano yake ni


Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Alfabeti" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Alfabeti kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi