Vokali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Vokali ni sauti za lugha zinazotajwa kwa herufi za A, E, I, O na U. Kwa jumla ni sauti tupu ambako hewa huondoka mdomoni bila kikwazo au sauti za pembeni.

Herufi zote nyingine ni konsonanti kama B, D, K, L, P, S, W au Z. Kwa sauti hizo si hewa tu inayoondoka mdomoni lakini mwendo wake ni pamoja na sauti za pembeni kwa kutumia shingo, ulimi au meno.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine