P
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Alfabeti ya Kilatini (kwa matumizi ya Kiswahili) |
||||||
|---|---|---|---|---|---|---|
| Aa | Bb | Cc | ch | Dd | ||
| Ee | Ff | Gg | Hh | Ii | Jj | |
| Kk | Ll | Mm | Nn | Oo | Pp | |
| Rr | Ss | Tt | Uu | Vv | ||
| Ww | Xx | Yy | Zz | |||
P ni herufi ya 16 katika katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Pi ya alfabeti ya Kigiriki.
Maana za P [hariri]
- Kati ya vipimo sanifu vya kimataifa P ni alama ya Kelvini (kiwango cha halijoto)
- Katika Kemia P ni alama ya elementi ya Posferi
- Katika Fizikia P ni alama ya protoni
- Kwenye gari P ni alama ya kimataifa kwa magari kutoka Ureno (=Portugal)
Historia ya alama P [hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu P kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |