Lugha za Kislavoni
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Mashariki ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Kusini ni lugha rasmi
Lugha za Kislavoni ni kikundi cha lugha chenye asili ya Ulaya ya Mashariki. Jumla kuna wasemaji milioni 300 wanaosema lugha ya Kislavoni kama lugha ya mama pamoja na wengine 100 wanotumia lugha hizi kama lugha ya pili. Lugha hizi ni sehemu za familia ya lugha za Kihindi-Kiulaya.
Lugha za Kislavoni zenye wasemaji wengi ni Kirusi (milioni 140 wasemji kama lugha ya kwanza, wengine milioni 110 kama lugha ya pili), halafu Kiukraine na Kipoland (kila moja lenye wasemaji milioni 50).
Lugha hizi zapangwa kwa vikundi vitatu:
- Kislavoni cha Magharibi pamoja na
Kuhariri Lugha za Kislavoni: family.asp?subid=292-16 Orodha hii haitaji lugha zote za Kislavoni. Viambishi ni mofimu au viungo vyenye maana ambavyo hufungamanishwa na mzizi/shina la neno ili kulipa neno hilo maana mbalimbali za kisarufi kama vile nafsi, wakati, hali, urejeshi, n.k Viambishi awali ni vile vinavyotangulia mzizi wenyewe, yaani huwa kabla ya mzizi/shina. SHINA AU MZIZI: Hakuna tofauti kati ya shina na mzizi MZIZI/SHINA, Ni sehemu ya neno inayobeba maana yake kuu na huwa haibadiliki, Kwa mfano, tuangalie vitenzi vifuatavyo: a-na-LIM-a wa-li-LIM-i-a ni-ta-LIM-iw-a wa-na-vyo-LIM-a Ukiangalia kwa makini, utaona kuna sehemu ya kitenzi hiki ambayo haibadiliki katika mifano ya hapo juu. Sehemu hiyo ni (-LIM-). Na hii ndiyo shina au mzizi wa kitenzi LIMA. Mfano mwingine: a-li-ki-SOM-a hu-SOM-ew-a wa-li-SOM-e-an-a a-li-m-SOM-e-a i-li-SOM-w-a Tunaona hapa mzizi/shina la kitenzi SOMA, ni -som- Ili utambue shina/mzizi wa kitenzi unafaa kuwazia hali mbalimbali au kauli tofautitofauti za mnyambuliko wa kitenzi halafu ubainishe sehemu isiyobadilika.