Palestina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
السلطة الوطنية الفلسطينية
As-Sulta Al-Wataniyya Al-Filastīniyya

Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina
Bendera ya Mamlaka ya Palestina Nembo ya Mamlaka ya Palestina
Bendera Nembo
Wito la taifa: --
Wimbo wa taifa: Biladi
Lokeshen ya Mamlaka ya Palestina
Mji mkuu Ramallah na Gaza hali halisi kama makao ya ofisi za serikali.
Yerusalemu ya Mashariki ni mji mkuu wa Palestina unaotazamiwa.
31°46′N 35°15′E
{{{latd}}}°{{{latm}}}′ {{{latNS}}} {{{longd}}}°{{{longm}}}′ {{{longEW}}}
Mji mkubwa nchini Gaza
Lugha rasmi Kiarabu
Serikali
Mahmoud Abbas
Ismail Haniya
Katiba
Uhuru
ilitangazwa
Hali

15 Novemba 1988
Haitambuliwi
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
6,220 km² (ya 169)
3.54
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
3,702,212 (ya 128)
595/km² (ya 18)
Fedha Shekel ya Israel
Dinari ya Yordania
(JOD, ILS)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
  (UTC+2)
  (UTC+3)
Intaneti TLD .ps
Kodi ya simu +970b

-

a West Bank pekee.
b si rasmi.


Ramani ya maeneo yanayotazamiwa kuwepo chini ya Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina

Palestina ni nchi mpya katika mwendo wa kuzaliwa lakini kwa sasa hakuna uhakika kama tendo litakamilika na lini. Kwa sasa kuna idadi ya maeneo yanayotawaliwa na Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina.

Maeneo haya yametengwa kati yao na maeneo yanayosimamiwa na Israeli.

Maeneo haya yako kati ya mto Yordani na pwani ya Mediteranea: ni hasa Ukingo wa Magharibi wa Yordani na Ukanda wa Gaza.

Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina ina kiwango fulani cha madaraka ya kiserikali katika baadhi ya maeneo haya.

Mamlaka hiyo hutambuliwa na nchi nyingi za Waarabu kama serikali halisi. Jumuia ya kimataifa kwa ujumla imetambua mamlaka kwa viwango mbalimbali lakini si kama serikali kamili ya nchi huru. Hivyo Mamlaka ina kiti cha mtazamaji kwenye Umoja wa Mataifa.

Maeneo ya Palestina yamepakana na Israel, Yordani na Misri. Kanda la Gaza lina pwani kwenye Mediteranea.

BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Palestina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.