Yerusalemu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Yerusalemu
Jerusalem Dome of the rock BW 13.JPG
Ukuta wa Maombolezo na Kuba ya Mwamba mjini Yerusalemu
Emblem of Jerusalem.svg
Seal
Flag of Jerusalem.svg
Flag
Jina la Kiebrania יְרוּשָׁלַיִם (Yerushalayim)
Jina la Kiarabu القـُدْس (al-quds);
rasmi: أورشليم القدس
(urshalim-al-quds)
Maana ya Jina Kiebrania: "Urithi wa amani",
Kiarabu: "(Mji) mtakatifu"
Utawala Mji
Wilaya
Wakazi 724,000 (Wayahudi 68%, Waislamu 30%, Wakristo 2%) (2006)
Eneo 126,000  (126 km²)
Meya Uri Lupolianski
Tovuti rasmi www.jerusalem.muni.il

Yerusalemu (kwa Kiebrania ירושלים Yerushalayim, kwa Kiarabu: القدس al-Quds) ni mji wa Mashariki ya Kati wenye pande mbili. Kwa upande mmoja ni mji mkuu wa Israel. Kwa upande mwingine Yerusalemu ya mashariki inatazamiwa kuwa mji mkuu wa Palestina ingawa imetawaliwa na Israel pia tangu 1967. Israel imetangaza tangu 1980 Yerusalemu yote kuwa mji wake mkuu wa milele, lakini nchi nyingi za dunia hazikubali azimio hili hivyo balozi za nchi za kigeni katika Israel ziko nje ya Yerusalemu.

Yerusalemu ina historia ndefu sana. Ni mji muhimu katika dini tatu zinazofuata imani ya Abrahamu, yaani Uyahudi, Ukristo na Uislamu.

BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yerusalemu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine