29 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1453 - Mji wa Konstantinopoli (Bizanti) unatekwa na jeshi la Waturuki Waosmani chini ya Sultani Mehmet II. Mwisho wa Dola la Roma ya Mashariki.
- 1724 - Uchaguzi wa Papa Benedikto XIII
- 1953 - Tenzing Norgay na Edmund Hillary ni watu wa kwanza kufikia kilele cha Mount Everest, mlima mrefu kabisa duniani.
Waliozaliwa [hariri]
- 1439 - Papa Pius III
- 1917 - John F. Kennedy (Rais wa Marekani)
- 1950 - Frederick Sumaye, Waziri Mkuu wa 9 wa Tanzania
- 1976 - Francis Kimanzi, mchezaji mpira kutoka Kenya
Waliofariki [hariri]
- 1910 - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1958 - Juan Ramon Jimenez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1956)
- 2010 - Dennis Hopper, msanii wa Marekani