14 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1546 - Tycho Brahe, mwanafalaki kutoka Denmark
- 1895 - Paul Eluard (mshairi Mfaransa)
- 1909 - Edward Tatum (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)
- 1922 - Nikolai Basov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)
- 1970 - Anna Maria Jopek, mwimbaji kutoka Poland
- 1980 - Didier Zokora, mchezaji mpira kutoka Cote d'Ivoire
Waliofariki [hariri]
- 872 - Papa Adrian II
- 1799 - George Washington, Rais wa kwanza wa Marekani
- 1953 - Marjorie Kinnan Rawlings, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1984 - Vicente Aleixandre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1977)