28 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1856 - Woodrow Wilson (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919)
- 1880 - Louis Leipoldt, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1944 - Kary Mullis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1993)
Waliofariki [hariri]
- mnamo 6 BK - Watoto wa Bethlehemu wakati wa kuzaliwa Yesu - hii ni tarehe ya kuwakumbuka kiliturgia
- 1991 - Cassandra Harris, mwigizaji filamu kutoka Australia