13 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1294 - Papa Celestino V anajiuzulu ili kuishi maisha ya kipweke.
Waliozaliwa [hariri]
- 1521 - Papa Sixtus V
- 1923 - Philip Anderson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 1963 - Yono Stanley Jilaoneka Kevela, mwanasiasa wa Tanzania
- 1976 - Rama Yade, mwanasiasa wa Ufaransa kutoka Senegal
Waliofariki [hariri]
- 1124 - Papa Callixtus II
- 1466 - Donatello, mchongaji wa sanamu kutoka Italia
- 1930 - Fritz Pregl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923)
- 1935 - Victor Grignard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912)
- 1955 - Antonio Egas Moniz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 1998 - Norbert Zongo, mhariri wa gazeti nchini Burkina Faso, aliuawa