Yono Stanley Jilaoneka Kevela
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yono Stanley Jilaoneka Kevela (amezaliwa tar. 13 Desemba 1963) ni mbunge wa jimbo la Njombe Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Yono Stanley Jilaoneka Kevela (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |