Taylor Swift
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Taylor Swift | |
|---|---|
Taylor Swift akitumbuiza katika café.
|
|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Taylor Alison Swift |
| Amezaliwa | 13 Desemba 1989 |
| Aina ya muziki | Country pop |
| Kazi yake | Mwimbaji-mtunzi wa nyimbo |
| Ala | Gitaa, piano |
| Miaka ya kazi | 2006 – Mpaka sasa |
| Studio | Big Machine Records |
| Ame/Wameshirikiana na | Miranda Lambert, Kellie Pickler, Danielle Peck, Brad Paisley |
| Tovuti | Tovuti Rasmi ya Taylor Swift |
Taylor Alison Swift (amezaliwa tar. 13 Desemba 1989) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa country-pop kutoka nchini Marekani. Alitoa kibao chake cha kwanza, "Tim McGraw", mnamo mwaka wa 2006 akiwa na umri wa miaka 16.
Ameshinda tuzo ya CMT "Video Bora ya Mwaka" mnamo 2007 kwa ajili ya wimbo wa "Tim McGraw". Pia alishindanishwa kwenye tuzo za Academy of Country Music akiwa kama "Mwimbaji Chipukizi wa Kike".
Yaliyomo |
Wasifu [hariri]
Maisha ya awali [hariri]
Diskografia [hariri]
Albamu za Studio [hariri]
| Mwaka | Albamu | US Country | US | CAN Country | CAN |
|---|---|---|---|---|---|
| 2006 | "Taylor Swift" | 1 | 5 | 1 | 14 |
| 2008 | "Fearless" | 1 | 1 | 1 | 1 |
Single zake [hariri]
| Mwaka | Wimbo | US Country | US Hot 100 | US Pop 100 | US AC | Albamu |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2006 | "Tim McGraw" | 6 | 40 | 43 | – | Taylor Swift |
| 2007 | "Teardrops on My Guitar" | 2 | 33 | 42 | 5 | |
| "Our Song" | 10 | 39 | 58 | – | ||
| 2008 | "Picture to Burn" | 3 | 28 | 49 | – | |
| "Should've Said No" | 1 | 33 | 61 | – | ||
| "Love Story" | 1 | 4 | 3 | 2 | Fearless | |
| "White Horse" | 1 | 13 | 23 | – |
Tim McGraw, Teardrops On My Guitar, Our Song, Picture To Burn, na Should've Said No. You Belong with me.
Tuzo [hariri]
- CMT Music Awards
- 2007, Kuvunja Rekodi ya Video Bora ya Mwaka: Tim McGraw (Ameshinda)
- Academy of Country Music Awards
- 2007, Mwimbaji wa Kike Chipukizi: Ameshindanishwa (Kapotezwa na Miranda Lambert)
- Academy of Country Music Awards
- 2008, Mwimbaji wa Kike Chipukizi (Ameshinda)
Viungo vya nje [hariri]
- Taylor Swift Official Website
- Official website
- Taylor Swift at the Internet Movie Database
- Taylor Swift at MySpace
- Taylor Swift at Twitter
- Taylor Swift at YouTube
|
||||||||||||||||||||||||||
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Taylor Swift kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |