Fearless

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fearless
Fearless Cover
Studio album ya Taylor Swift
Imetolewa 11 Novemba 2008
(see Historia ya kutolewa)
Aina Country pop
Urefu 53:41
Lebo Big Machine na Universal Music Group
Mtayarishaji Scott Borchetta (exec.), Nathan Chapman, Taylor Swift
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Taylor Swift
Beautiful Eyes
(2008)
Fearless
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya Fearless
  1. "Love Story"
    Imetolewa: Septemba 16, 2008 (2008-09-16)
  2. "White Horse"
    Imetolewa: Desemba 9, 2008 (2008-12-09)
  3. "You Belong with Me"
    Imetolewa: Aprili 21, 2009 (2009-04-21)
  4. "Fifteen"
    Imetolewa: Septemba 1, 2009 (2009-09-01)[1]


Fearless ni albamu ya pili ya msanii wa muziki wa country-pop wa Kimarekani, Taylor Swift. Albamu ilitolewa mnamo tar. 11 Novemba 2008 kupitia studio ya Big Machine Records. Albamu ilianza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani. Albamu iliuza kopi 592,304 katika wiki ya kwanza, na kuifanya iwe albamu iliyouza vizuri katika wiki ya kwanza kwa mwaka wa 2008 kwa msanii wa kike.

Fearless imekuwa albamu ya kwanza kuuza kopi milioni kwa mwaka wa 2009,[2] kwa kuuza kopi 1,608,000+ tangu kuanzia tar. 1 ya mwezi wa Januari.[3] Albamu imetayarisha viabao vikali vinne ambavyo vyote vimeingia katika kumi bora - "Change" (#10), "Love Story" (#4), "Fearless" (#9) na "You Belong with Me" (#2). Albamu pia imetayarisha vibao vikali sita ambavyo navyo vimeingia kwenye 20 bora. Vibao hivyo ni pamoja na "You're Not Sorry" (#11) na "White Horse" (#13). Single ya tatu, "You Belong with Me", umekuwa wimbo mashuhuri sana katika kazi za Swift, kwa kupata mafanikio nchini na nje ya nchi.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fearless" (Taylor Swift, Liz Rose, Hillary Lindsey) — 4:01
  2. "Fifteen" (Swift) — 4:54
  3. "Love Story" (Swift) — 3:55
  4. "Hey Stephen" (Swift, Artie Garr) — 4:14
  5. "White Horse" (Swift, Rose) — 3:54
  6. "You Belong with Me" (Swift, Rose) — 3:51
  7. "Breathe" (akimshirikisha Colbie Caillat*) (Swift, Colbie Caillat) — 4:23
  8. "Tell Me Why" (Swift, Rose) — 3:20
  9. "You're Not Sorry" (Swift) — 4:22
  10. "The Way I Loved You" (Swift, John Rich) — 4:04
  11. "Forever & Always" (Swift) — 3:45
  12. "The Best Day" (Swift) — 4:05
  13. "Change" (Swift) — 4:40

Meingine Yaliyo-ongezewa

  1. "Love Story Music Video
  2. "Change Music Video

Toleo Jipya la Nyimbo (Fearless Platinum Edition)[4]
Nyimbo 13 kutoka katika toleo la kawaida jumlisha:

  1. "Jump Then Fall"
  2. "Untouchable"
  3. "Forever & Always (Piano Version)"
  4. "Come In With the Rain"
  5. "SuperStar"
  6. "The Other Side of the Door"

| width="50%" align="left" valign="top" | Nyimbo za ziada za kimataifa

  1. "Our Song" (International Version) — 3:24
  2. "Teardrops on My Guitar" (International Version) — 3:10
  3. "Should've Said No" (International Version) — 4:06

Nyimbo za ziada za Japani[5]

  1. "Beautiful Eyes" (Swift)
  2. "Picture to Burn" (Swift, Rose) — 2:57
  3. "I'm Only Me When I'm with You" (Swift, Robert Ellis Orrall, Angelo)
  4. "I Heart ?" (Swift)

iTunes ya UK na nyimbo zake za ziada[6]

  1. "Umbrella" (Live from SoHo) — 1:31
  2. "A Place In This World" (Live from SoHo) - 3:26
  3. Video Interview Piece — 2:59

Nyimbo za DVD

  1. "Exclusive! Watch the Recording Session of "Change"
  2. "Exclusive! In the Studio with Taylor Swift and Colbie Caillat Recording "Breathe"

|}

Nafasi za chati[hariri | hariri chanzo]

Albamu ilishika chati za Billboard 200 katika Marekani kwa takriban wiki 44 (Novemba 2008 - 17 Septemba 2009). Katika wiki hizo mfululizo ilikaa katika nafasi ya 12, kwa sasa ipo nafasi ya #10.

Chati (2008/2009) Nafasi
iliyoshika
Matunukio Jumla ya mauzo
Australian ARIA Albums Chart[7] 2 3x Platinum[8] 210,000+[8]
Australian Country Chart[9] 1
Belgian Albums Chart (Flanders) 12 55,000
Canadian Albums Chart 1 3x Platinum[10] 320,000+
Canadian Top Country Albums 1
Dutch Albums Chart[11] 10 25,000
German Albums Chart 6 40,000
Greek International Albums Chart[12] 11 35,000
Irish Albums Chart 2 40,000
Oricon Albums Chart (Japan) 4 120,000
Polish Albums Chart 13 25,000
Mexican Albums Chart[13] 9 50,000
New Zealand Albums Chart 1 4x Platinum 65,000+[14]
Norwegian Albums Chart[11] 3 Platinum [15] 30,000+[16]
Spanish Album Chart 11 15,000
U.S. Billboard 200[17] 1 4x Platinum (Not Yet Certified) 4,050,725+[18][19]
UK Albums Chart 2 Gold[20] 100,000+[21]
Swedish Albums Chart 5 15,000

Historia ya kutolewa[hariri | hariri chanzo]

Nchi Tarehe
Marekani 11 Novemba 2008
Kanada
Australia 15 Novemba 2008
Australia (Limited Edition) 27 Februari 2009
Ireland 6 Machi 2009
Italia[22]
Taiwan
Uingereza 8 Machi 2009
Philippines
India[23] Indian Edition Machi 2009
New Zealand 9 Machi 2009
Urusi 9 Machi 2009
Sweden 11 Machi 2009
Ubelgiji
Mexiko 17 Machi 2009
Ulaya 20 Machi 2009
Brazil 31 Machi 2009
Hispania
Ujerumani 15 Mei 2009
Japani 24 Juni 2009
Ufaransa[24] 20 Julai 2009

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.musicrow.com/calendars-2/single-releases/
  2. "Week Ending April 26, 2009: 3 Million Downloads In Record Time". Yahoo Music Blog (written by Paul Grein). 2009-04-29. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-14. Iliwekwa mnamo 2009-04-29. 
  3. Grein, Paul (2009-08-05). "Week Ending Aug. 2, 2009: Not Since "Double Fantasy"". Yahoo! Music. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-04-30. Iliwekwa mnamo 2009-08-05. 
  4. Taylor Swift to Re-Release 'Fearless' With New Songs
  5. "Fearless (Japan Import)". HMV. Iliwekwa mnamo 2009-06-02. 
  6. http://itunes.apple.com/WebObjects/MZStore.woa/wa/viewAlbum?id=304891651&s=143444
  7. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-03-20. Iliwekwa mnamo 2009-09-18. 
  8. 8.0 8.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-08. Iliwekwa mnamo 2009-09-18. 
  9. http://www.ariacharts.com.au/pages/charts_display_country.asp?chart=1F20
  10. "CRIA - Audio and Video Certification January 2009". Canadian Recording Industry Association. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-20. Iliwekwa mnamo 2009-03-23. 
  11. 11.0 11.1 http://acharts.us/album/40447
  12. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-20. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.  Unknown parameter |= ignored (help)
  13. "Top 100 Albums in Mexico - 10th April 2008". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-02. Iliwekwa mnamo 2009-09-18. 
  14. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named rianz.org.nz
  15. [1]
  16. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-15. Iliwekwa mnamo 2009-09-18. 
  17. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named CohenSoars
  18. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-12. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.  Unknown parameter |= ignored (help)
  19. http://www.billboard.com/news/taylor-swift-to-re-release-fearless-with-1004011180.story#/news/taylor-swift-to-re-release-fearless-with-1004011180.story/
  20. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url= ignored (help)
  21. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url= ignored (help)
  22. [2]
  23. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-12-07. Iliwekwa mnamo 2009-09-18. 
  24. [3]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fearless kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.