Mtayarishaji wa Muziki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mtayarishaji wa Muziki ni mtu anayechukua hatua ya kufanya myenendo ya rekodi za muziki, ambaye anataka kufanana kabisa na mwongozaji wa filamu pale anachokua hatua ya kuongoza filamu. Mtayarishaji wa muziki husaidia wanamuziki na wasanii wanaofanya rekodi zao za nyimbo moja-moja au albamu iliyokamili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

1) Hewitt, Michael. Music Theory for Computer Musicians. 1st Ed. USA. Cengage Learning, 2008. ISBN 13-978-1-59863-503-4

  • Gronow, Pekka and Ilpo Saunio (1998). An International History of the Recording Industry. ISBN-X. Cited in Moorefield (2005).
  • Moorefield, Virgil (2005). The Producer as Composer: Shaping the Sounds of Popular Music. ISBN.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtayarishaji wa Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.