Eire
|
|||||
| Wito la taifa: {{{national_motto}}} | |||||
| Wimbo wa taifa: Amhrán na bhFiann "Wimbo wa Askari" |
|||||
| Mji mkuu | Dublin |
||||
| Mji mkubwa nchini | Dublin | ||||
| Lugha rasmi | Kieire, Kiingereza | ||||
| Serikali | Jamhuri Michael D. Higgins Enda Kenny |
||||
| Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa Katiba |
24 Aprili 1916 6 Desemba 1922 29 Desemba 1937 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
70,273 km² (ya 120) 2.00 |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
4,234,925 (ya 121) 60.3/km² (ya 139) |
||||
| Fedha | Euro (€)1 (EUR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
WET (UTC+0) IST (WEST) (UTC+1) |
||||
| Intaneti TLD | .ie2 | ||||
| Kodi ya simu | +353
- |
||||
| 1 kabla ya 1999: Irish pound. 2 kuna pia anwani za .eu (Umoja wa Ulaya) |
|||||
Eire (pia: Ireland, Ayalandi) ni nchi ya kisiwani katika funguvisiwa ya Britania ya Ulaya.
Kaskazini ya kisiwa ni sehemu ya Ufalme wa Muungano (Uingereza). Mji mkuu ni Dublin. Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kiingereza lakini lugha ya Kieire ni lugha ya kwanza ya taifa. Kinazungumzwa katika maeneo kadhaa ya vijijini na hufundishwa shuleni.
Eire ilitawaliwa na Uingereza hadi 1922.
Jiografia [hariri]
Kijiografia Eire ni kisiwa kilichogawiwa kati ya Jamhuri ya Eire inayokalia sehemu kubwa ya kisiwa na Northern Ireland ambayo ni jimbo la Ufalme wa Maungano.
Kisiwa chote kina eneo la 84,421 km² na 83% zake ni Jamhuri ya Eire. Upande wa magharibi kuna Bahari ya Atlantiki, upande wa mashariki Bahari ya Eire inayokitenga na kisiwa cha Britannia.
Kitovu cha kisiwa kuna tambarare inayozungukwa nje upande wa pwani na vilima. Mlima mkubwa ni Carrauntoohil mwenye kimo cha mita 1,038.
Mto mkubwa ni Shannon inaelekea kutoka kaskazini kwenda kusini. Kwenye tambarare ya katikati kuna maziwa kadhaa.
Hali ya hewa inaatiriwa na Atlantiki ni ya wastani hakuna baridi kali wala joto kali. Bahari inaleta mvua nyingi na hivyo Eire huitwa "Kisiwa Kijani".
Miji mikubwa ni Dublin (wakazi milioni 1), Cork (watu 190,000), Limerick (90,000), Galway (72,000) na Waterford (49,000).
Tazama pia [hariri]
|
||||||||||||||
| Nchi za Umoja wa Ulaya | |
|---|---|
| Austria | Bulgaria | Denmark | Estonia | Finland | Hungaria | Ireland | Italia | Kupro | Latvia | Lituanya | Luxemburg | Malta | Poland | Slovakia | Slovenia | Hispania | Romania | Sweden | Ubelgiji | Uceki | Ufaransa | Ugiriki | Uholanzi | Uingereza| Ujerumani | Ureno | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ireland bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eire kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |