Ufalme wa Maungano ya Britania na Eire ya Kaskazini
Kutoka Wikipedia
(Elekezwa kutoka Ufalme wa Maungano)
Ufalme wa Maungano ya Britania na Eire ya Kaskazini (Kiing.: United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland); kifupi "Ufalme wa Maungano" Kiing.: United Kingdom) ni nchi ya Ulaya ya kaskazini-magharibi. Mara nyingi huitwa kwa Kiswahili "Uingereza" tu ingawa nchi ya Uingereza ni moja tu kati ya sehemu za ufalme huu pamoja na Uskoti, Welisi na Eire ya Kaskazini.
[hariri] Maungano na utawala
| Bendera | Nchi | Hali | Wakazi | Vitengo | Miji |
|---|---|---|---|---|---|
| Uingereza | Ufalme | 50,431,700 | Miji ya Uingereza | ||
| Uskoti | Ufalme | 5,094,800 | Miji ya Uskoti | ||
| Welisi | Utemi | 2,958,600 | Miji ya Welisi | ||
| Eire ya Kaskazini | Jimbo | 1,724,400 | Miji ya Eire ya Kaskazini |

