Serbia
|
|||||
| Wito la taifa: {{{national_motto}}} | |||||
| Wimbo wa taifa: Bože pravde Mungu wa haki |
|||||
| Mji mkuu | Belgrad |
||||
| Mji mkubwa nchini | Belgrad | ||||
| Lugha rasmi | Kiserbia kinachoandikwa kwa Mwandiko wa kikirili(1) |
||||
| Serikali | Jamhuri Boris Tadić Mirko Cvetković |
||||
| Kutokea kwa taifa la Serbia Kuzaliwa kwa taifa Uhuru kuanzishwa kwa Ufalme kutwaliwa na Dola la Uturuki Uasi wa kwanza Katiba ya kwanza Kutambuliwa na Mkutano wa Berlin Yugoslavia Serbia na Montenegro |
karne ya 8 1166 1077 1459 14 Februari 1804 15 Februari 1835 1878 1918 5 Juni 2006 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
88,361 km² (ya 113) 0.13 |
||||
| Idadi ya watu - 2002 kadirio - Msongamano wa watu |
9,396,411 (ya 83) 106/km² (ya 94) |
||||
| Fedha | Dinari ya Serbia (2) (RSD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) {{{time_zone_DST}}} (UTC{{{utc_offset_DST}}}) |
||||
| Intaneti TLD | .yu (.rs) (3) | ||||
| Kodi ya simu | +381 (4) |
||||
| 1 Jimboni Vojvodina zifuatazo ni lugha rasmi kieneo: Kihungaria, Kislovakia, Kiromania, Kirusyn na Kikroatia. Katiba mpya imepanga pia kukubaliwa kwa mwandiko wa Kilatini kwa Kiserbia pamoja kikirili. Jimboni Kosovo lugha rasmi ni pia Kialbania na Kiingereza. 2 Euro hutumiwa jimboni Kosovo pamoja na dinar. 3 ".rs" ni rasmi tangu Septemba 2006 lakini anwani zenye ".yu" bado zinatumiwa. 4 pamoja na Montenegro hadi 2007. |
|||||
Serbia (Kiserbia: Република Србија au Republika Srbija) ni nchi ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani. Mji mkuu ni Belgrad. Nchi ina wakazi milioni 9.3 kwenye eneo la km² 88.361.
Imepakana na Hungaria, Bulgaria, Romania, Masedonia, Albania, Montenegro, Bosnia na Herzegovina na Kroatia.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Serbia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||