Live from SoHo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Live from SoHo: Taylor Swift
Live from SoHo: Taylor Swift Cover
Live album ya Taylor Swift
Imetolewa 15 Januari 2008
Aina Country
Urefu 27:30
Lebo Big Machine
Wendo wa albamu za Taylor Swift
Sounds of the Season: The Taylor Swift Holiday Collection
(2007)
Live from SoHo: Taylor Swift
(2008)
Beautiful Eyes
(2008)


Live from SoHo ni albamu ya kwanza ya Taylor Swift iliyofanywa moja kwa moja wakati anatumbuiza katika ukumbi. Ilitolewa mnamo 15 Januari 2008 [1] ikiwa kama toleo kali la EP la iTunes. Ilirekodiwa katika Soho Apple Store mjini New York.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Umbrella" (Rihanna Cover) – 1:29
  2. "Our Song" (Taylor Swift) – 3:29
  3. "Teardrops on My Guitar" (Taylor Swift, Liz Rose) – 3:24
  4. "Should've Said No" (Taylor Swift) – 4:27
  5. "A Place in this World" (Taylor Swift, Robert Ellis Orrall, Angelo Petraglia) – 3:24
  6. "Mary's Song (Oh My My My)" (Taylor Swift, Liz Rose, Brian Dean Maher) – 3:47
  7. "Tim McGraw" (Taylor Swift, Liz Rose) – 4:00
  8. "Picture to Burn" (Taylor Swift, Liz Rose) – 3:33

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. allmusic: Live from SoHo (Overview). Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-08-01.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Live from SoHo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.