Mexiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Estados Unidos Mexicanos
Maungano a Madola ya Mexiko
Bendera ya Mekiko Nembo ya Mekiko
Bendera Nembo
Wito la taifa: (hakuna)
Wimbo wa taifa: Himno Nacional Mexicano
Lokeshen ya Mekiko
Mji mkuu Mji wa Mexiko (Kihisp.: Ciudad de Mexico)
19°03′ N 99°22′ W
Mji mkubwa nchini Mji wa Mexiko (Kihisp.: Ciudad de Mexico)
Lugha rasmi (hakuna kitaifa)
Kihispania (hali halisi)
Serikali Shirikisho la Jamhuri
Enrique Peña Nieto
Uhuru
Imetangazwa
imetambuliwa

16 Septemba 1810
27 Septemba 1821
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,972,550 km² (ya 15)
2.5%
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 2000 sensa
 - Msongamano wa watu
 
107,029,000 (ya 11)
101,879,171
55/km² (ya 142)
Fedha Peso (MXN)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-8 to -6)
varies (UTC)
Intaneti TLD .mx
Kodi ya simu +52

-Meksiko ni nchi kubwa inayohesabiwa ama kuwa sehemu ya Amerika ya Kaskazini au ya Amerika ya Kati.

Imepakana na Marekani upande wa kaskazini. Upande wa kusini majirani ni Guatemala na Belize. Ina pwani ndefu na bahari za Pasifiki na Ghuba ya Meksiko.

Mji mkuu ni Mexico City.

Wakazi wengi ni machotara wenye damu ya Wahindi wekundu na Wazungu.

Hutumia lugha ya Kihispania ambayo ni pia [[lugha rasmi] ya taifa, lakini wengine wanaendelea kutumia lugha asilia tangu kabla ya ukoloni kama vile Nahuatl, Maya na Zapoteki.

Upande wa dini walio wengi ni wafuasi wa Yesu Kristo katika Kanisa Katoliki.

Majimbo ya Mexiko[hariri | hariri chanzo]


Ramani ya Mexiko

Nchi jinsi ilivyo leo imeundwa na wakoloni Wahispania walioivamia kuanzia mwaka 1519 na kuvunja utawala wa milki za wenyeji kama Azteki na Maya.


Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mexiko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.